Zephaniah 1:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia, iko karibu na inakuja mbio. Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu; hapo, shujaa atalia kwa sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Siku kubwa ya Mwenyezi Mungu iko karibu: iko karibu na inakuja haraka. Sikilizeni! Kilio katika siku ya Mwenyezi Mungu kitakuwa chungu. Shujaa atapiga ukelele wa vita huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo siku ya Bwana iliyo kuu i karibu; I karibu, nayo inafanya haraka sana; Naam, sauti ya siku ya Bwana; Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia, iko karibu na inakuja mbio. Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu; hapo, shujaa atalia kwa sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siku kubwa ya BWANA iko karibu: iko karibu na inakuja haraka. Sikilizeni! Kilio katika siku ya BWANA kitakuwa kichungu, hata shujaa atapiga kelele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siku kubwa ya bwana iko karibu: iko karibu na inakuja haraka. Sikilizeni! Kilio katika siku ya bwana kitakuwa kichungu, hata shujaa atapiga kelele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo siku ya BWANA iliyo kuu i karibu; I karibu, nayo inafanya haraka sana; Naam, sauti ya siku ya BWANA; Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia, iko karibu na inakuja mbio. Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu; hapo, shujaa atalia kwa sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya Bwana iliyo kuu iko karibu, iko karibu kweli, inataka kutimia upesi. Uvumi wa siku ya Bwana utakaposikilika, ndipo, naye mnguvu atakapolia kwa uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo siku ya BWANA iliyo kuu i karibu; I karibu, nayo inafanya haraka sana; Naam, sauti ya siku ya BWANA; Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile siku kubwa ya Yawe imekaribia, iko karibu na inakuja mbio. Mulio wa siku ya Yawe ni wa uchungu; hapo, hata shujaa atalia kwa sauti.