Zephaniah 1:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa watu wamemkosea Mwenyezi-Mungu, yeye atawaletea dhiki kubwa, hivyo kwamba watatembea kama vipofu. Damu yao itamwagwa kama vumbi, na miili yao kama mavi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaletea watu dhiki, nao watatembea kama vipofu, kwa sababu wametenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu. Damu yao itamwagwa kama vumbi na matumbo yao kama kinyesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda Bwana dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama mavi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa watu wamemkosea Mwenyezi-Mungu, yeye atawaletea dhiki kubwa, hivyo kwamba watatembea kama vipofu. Damu yao itamwagwa kama vumbi, na miili yao kama mavi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaletea watu dhiki, nao watatembea kama wasio na macho, kwa sababu wametenda dhambi dhidi ya BWANA. Damu yao itamwagwa kama vumbi na matumbo yao kama taka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaletea watu dhiki, nao watatembea kama vipofu, kwa sababu wametenda dhambi dhidi ya bwana. Damu yao itamwagwa kama vumbi na matumbo yao kama taka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda BWANA dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama kinyesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa watu wamemkosea Mwenyezi-Mungu, yeye atawaletea dhiki kubwa, hivyo kwamba watatembea kama vipofu. Damu yao itamwagwa kama vumbi, na miili yao kama mavi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nitakapowaogopesha watu, wajiendee kama vipofu, kwani wamemkosea Bwana! Nazo damu zao zitamwagwa kama mavumbi, nazo nyama za miili yao zitatupwa kama mavi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawaletea wanadamu dhiki, hata watakwenda kama vipofu, kwa sababu wamemtenda BWANA dhambi; na damu yao itamwagwa kama mavumbi, na nyama yao kama mavi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana watu wamemukosea Yawe, yeye atawaletea taabu kubwa, wao watatembea kama vipofu. Damu yao itamwangwa kama mavumbi, na miili yao kama mavi.