Zephaniah 1:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitavifagilia mbali viumbe vyote duniani:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu asema, “Nitafagia kila kitu kutoka uso wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitavikomesha kabisa vitu vyote, visionekane juu ya uso wa nchi, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitavifagilia mbali viumbe vyote duniani:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asema, “Nitafagia kila kitu kutoka kwenye uso wa dunia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asema, “Nitafagia kila kitu kutoka kwenye uso wa dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitavikomesha kabisa vitu vyote, visionekane juu ya uso wa nchi, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitavifagilia mbali viumbe vyote duniani:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Nitayakusanya kabisa yote pia na kuyaondoa juu ya nchi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitavikomesha kabisa vitu vyote, visionekane juu ya uso wa nchi, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitateketeza kabisa viumbe vyote katika dunia: