Zephaniah 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaangamiza wote wanaosujudu juu ya paa, wakiabudu jeshi la mbinguni. Nitawaangamiza wale wanaoniabudu na kuapa kwa jina langu, hali wanaapa pia kwa jina la mungu Milkomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale ambao husujudu juu ya mapaa kuabudu jeshi la vitu vya angani, wale ambao husujudu na kuapa kwa Mwenyezi Mungu na ambao pia huapa kwa Malkamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya dari za nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa Bwana na kuapa pia kwa Malkamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaangamiza wote wanaosujudu juu ya paa, wakiabudu jeshi la mbinguni. Nitawaangamiza wale wanaoniabudu na kuapa kwa jina langu, hali wanaapa pia kwa jina la mungu Milkomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale ambao husujudu juu ya mapaa kuabudu jeshi la vitu vya angani, wale ambao husujudu na kuapa kwa BWANA na ambao pia huapa kwa Malkamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale ambao husujudu juu ya mapaa kuabudu jeshi la vitu vya angani, wale ambao husujudu na kuapa kwa bwana na ambao pia huapa kwa Malkamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya dari za nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa BWANA na kuapa pia kwa Milkomu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaangamiza wote wanaosujudu juu ya paa, wakiabudu jeshi la mbinguni. Nitawaangamiza wale wanaoniabudu na kuapa kwa jina langu, hali wanaapa pia kwa jina la mungu Milkomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wanaokitambikia kikosi cha mbinguni juu ya paa pamoja nao wanaomtambikia Bwana juujuu, kwani huapa na kumtaja Yeye, tena huapa na kumtaja mfalme wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya dari za nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa BWANA na kuapa pia kwa Malkamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaangamiza wote wanaoinama juu ya dari, wakiabudu jeshi la mbinguni. Nitawaangamiza wale wanaoniabudu na kuapa kwa jina langu, tena wanaapa vilevile kwa jina la mungu Milkomu.