Zephaniah 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaangamiza wote walioniacha mimi Mwenyezi-Mungu wote walioacha kunitafuta na kuniuliza shauri.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale wanaoacha kumfuata Mwenyezi Mungu, wala hawamtafuti Mwenyezi Mungu wala kutaka shauri lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata Bwana; na hao wasiomtafuta Bwana, wala kumwulizia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaangamiza wote walioniacha mimi Mwenyezi-Mungu wote walioacha kunitafuta na kuniuliza shauri.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale ambao wanaacha kumfuata BWANA, wala hawamtafuti BWANA wala kutaka shauri lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale wanaoacha kumfuata bwana, wala hawamtafuti bwana wala kutaka shauri lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaangamiza wote walioniacha mimi Mwenyezi-Mungu wote walioacha kunitafuta na kuniuliza shauri.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliorudi nyuma na kumwacha Bwana, hawamtafuti Bwana, wala hawamchungulii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hao waliorudi nyuma, na kuacha kumfuata BWANA; na hao wasiomtafuta BWANA, wala kumwulizia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaangamiza wote walioniacha mimi Yawe, wote walioacha kunitafuta na kuniuliza shauri.