Zephaniah 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyamazeni mbele ya Bwana Mwenyezi-Mungu, kwani siku ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Mwenyezi-Mungu ameandaa tambiko, nao aliowaalika amewateua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyamazeni mbele za Bwana Mungu Mwenyezi, kwa maana siku ya Mwenyezi Mungu iko karibu. Mwenyezi Mungu ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya Bwana i karibu; Kwa kuwa Bwana ameweka tayari dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyamazeni mbele ya Bwana Mwenyezi-Mungu, kwani siku ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Mwenyezi-Mungu ameandaa tambiko, nao aliowaalika amewateua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyamazeni mbele za BWANA Mwenyezi, kwa maana siku ya BWANA iko karibu. BWANA ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyamazeni mbele za bwana Mwenyezi, kwa maana siku ya bwana iko karibu. bwana ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA iko karibu; Kwa kuwa BWANA ametayarisha dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyamazeni mbele ya Bwana Mwenyezi-Mungu, kwani siku ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Mwenyezi-Mungu ameandaa tambiko, nao aliowaalika amewateua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyamazeni kimya usoni pa Bwana Mungu! Kwani siku ya Bwana iko karibu, kwani Bwana amekwisha kulilinganya tambiko, akawaeua walioalikwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA i karibu; Kwa kuwa BWANA ameweka tayari dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munyamaze mbele ya Bwana wenu Yawe, maana siku ya Yawe iko karibu. Yawe ametayarisha sadaka, naye amekwisha kutakasa waalikwa wake.