Zephaniah 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya dhabihu ya Mwenyezi Mungu nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya Bwana, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya dhabihu ya BWANA nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya dhabihu ya bwana nitawaadhibu wakuu na wana wa mfalme na wale wote wanaovaa nguo za kigeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaadhibu viongozi wa watu hao, kadhalika na wana wa mfalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa siku ya tambiko la Bwana, ndipo, nitakapowapatiliza wakuu nao wana wa mfalme, nao wote waliojivika mavazi mageni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa mavazi ya kigeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Katika siku ile ya karamu yangu, nitawaazibu wakubwa wa watu hao, vilevile na wana wa mufalme pamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni.