Zephaniah 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kusanyikeni, kusanyikeni enyi taifa la watu wasio na aibu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jikusanyeni, naam, jikusanyeni, Ee taifa lisilo na haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kusanyikeni, kusanyikeni enyi taifa la watu wasio na aibu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kusanyikeni pamoja, kusanyikeni pamoja, enyi taifa lisilo na aibu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jikusanyeni, naam, jikusanyeni, Ee taifa lisilo na haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kusanyikeni, kusanyikeni enyi taifa la watu wasio na aibu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jikusanyeni, jikusanyeni, mlio taifa lisilokata tamaa, shauri likiwa halijafanyika bado! Kwani siku hiyo inakuja mbio kama makapi yapeperushwayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jikusanyeni, naam, jikusanyeni, Ee taifa lisilo na haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukusanyike, mukusanyike, enyi taifa la watu wasiokuwa na haya,