Zephaniah 2:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi watu wa Kushi pia mtauawa kwa upanga wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ninyi pia, ee Wakushi, mtauawa kwa upanga wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ninyi Wakushi pia, mtauawa kwa upanga wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi watu wa Kushi pia mtauawa kwa upanga wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ninyi pia, Ee Wakushi, mtauawa kwa upanga wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ninyi pia, ee Wakushi, mtauawa kwa upanga wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ninyi Wakushi pia, mtauawa kwa upanga wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi watu wa Kushi pia mtauawa kwa upanga wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi Wanubi, mtapigwa na upanga wangu, mfe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ninyi Wakushi pia, mtauawa kwa upanga wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi watu wa Kushi vilevile mutauawa kwa upanga.