Zephaniah 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Gaza utahamwa, Ashkeloni utakuwa tupu. Wakazi wa Ashdodi watatimuliwa mchana, na wale wa Ekroni watang'olewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gaza utaachwa na Ashkeloni utaachwa magofu. Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu, na Ekroni utang’olewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Gaza utaachwa, na Ashkeloni utakuwa ukiwa; wataufukuzia mbali Ashdodi wakati wa adhuhuri, na Ekroni utang'olewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Gaza utahamwa, Ashkeloni utakuwa tupu. Wakazi wa Ashdodi watatimuliwa mchana, na wale wa Ekroni watang'olewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gaza utaachwa na Ashkeloni utaachwa magofu. Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu na Ekroni utang'olewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gaza utaachwa na Ashkeloni utaachwa magofu. Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu na Ekroni utang’olewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Gaza utaachwa, na Ashkeloni utakuwa ukiwa; wataufukuzia mbali Ashdodi wakati wa adhuhuri, na Ekroni utang'olewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Gaza utahamwa, Ashkeloni utakuwa tupu. Wakazi wa Ashdodi watatimuliwa mchana, na wale wa Ekroni watang'olewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Gaza utakuwa umeachwa, nao Askaloni utakuwa mapori matupu, Waasdodi watakimbizwa mchana, nao Ekroni utabomolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Gaza utaachwa, na Ashkeloni utakuwa ukiwa; wataufukuzia mbali Ashdodi wakati wa adhuhuri, na Ekroni utang’olewa. Amo 1:6-8; Zek 9:5-7
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji wa Gaza utahamwa, muji wa Askeloni utakuwa tupu. Wakaaji wa Asidodi watafukuzwa muchana, na wale wa Ekroni wataongolewa.