Zephaniah 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wenu wakazi wa nchi za pwani, watu mnaoishi huko Krete! Mwenyezi-Mungu ametamka dhidi yenu enyi wakazi wa Kanaani, nchi ya Filistia: Mimi nitawaangamiza asibaki hata mkazi mmoja!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, enyi Wakerethi; neno la Mwenyezi Mungu liko dhidi yenu, ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. “Mimi nitawaangamiza, na hakuna atakayebaki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wao wakaao karibu na pwani ya bahari, taifa la Wakerethi! Neno la Bwana li juu yenu, Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti; mimi nitakuangamiza, asibaki mtu akaaye kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wenu wakazi wa nchi za pwani, watu mnaoishi huko Krete! Mwenyezi-Mungu ametamka dhidi yenu enyi wakazi wa Kanaani, nchi ya Filistia: Mimi nitawaangamiza asibaki hata mkazi mmoja!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, Enyi Wakerethi; neno la BWANA liko dhidi yenu, Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. “Mimi nitawaangamiza, wala hakuna atakayebaki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, enyi Wakerethi; neno la bwana liko dhidi yenu, ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. “Mimi nitawaangamiza, na hakuna atakayebaki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wao wakaao karibu na pwani ya bahari, taifa la Wakerethi! Neno la BWANA liko juu yenu, Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti; mimi nitakuangamiza, asibaki mtu akaaye kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wenu wakazi wa nchi za pwani, watu mnaoishi huko Krete! Mwenyezi-Mungu ametamka dhidi yenu enyi wakazi wa Kanaani, nchi ya Filistia: Mimi nitawaangamiza asibaki hata mkazi mmoja!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata nanyi mkaao pwani, mlio wa taifa la Wakreta! Neno la Bwana litatimia kwenu wa Kanaani, nako kwenu wa nchi ya Wafilisti kwamba: Nitakuangamiza, pasisalie mwenyeji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wao wakaao karibu na pwani ya bahari, taifa la Wakerethi! Neno la BWANA li juu yenu, Ee Kanaani, nchi ya Wafilisti; mimi nitakuangamiza, asibaki mtu akaaye kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wenu wakaaji wa inchi za pembeni ya bahari, watu wanaoishi kule Krete! Yawe amesema juu yenu, enyi wakaaji wa Kanana, inchi ya Wafilistini: Mimi nitawaangamiza wala hakutabaki hata mukaaji mumoja!