Zephaniah 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi iliyo karibu na bahari itakuwa malisho yenye visima vya wachungaji, na mazizi ya kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo nchi ya pwani itakuwa malisho, yenye vibanda vya wachungaji, na mazizi ya makundi ya kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi, patakuwa mahali pa wachungaji na mazizi ya kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi kando ya bahari, mahali ambapo wanaishi Wakerethi, patakuwa mahali pa wachungaji na mazizi ya kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo nchi ya pwani itakuwa malisho, yenye vibanda vya wachungaji, na mazizi ya makundi ya kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi nchi za pwani mtafanywa kuwa malisho; mtakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nchi ya pwani itakapokuwa nyika yenye visima na mazizi ya kondoo, watakaowachunga huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo nchi ya pwani itakuwa malisho, yenye vibanda vya wachungaji, na mazizi ya makundi ya kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi inchi ya pembeni ya bahari mutafanywa kuwa shamba la malisho; mutakuwa vibanda vya wachungaji na mazizi ya kondoo.