Zephaniah 3:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wake mji wa Yerusalemu, mji mchafu, najisi na mdhalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wake yeye aliyeasi na kutiwa unajisi, mji wa udhalimu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wake mji wa Yerusalemu, mji mchafu, najisi na mdhalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wa mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole mji wa wadhalimu, waasi na waliotiwa unajisi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wake yeye aliyeasi na kutiwa unajisi, mji wa udhalimu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wake mji wa Yerusalemu, mji mchafu, najisi na mdhalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yataupata huo mji usiotii, uliojichafua kwa makorofi yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wake yeye aliyeasi na kutiwa unajisi, mji wa udhalimu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wake Yerusalema, muji wa uasi, muchafu, na wenye kujaa watesaji.