Zephaniah 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuachia watu wapole na wanyenyekevu ambao watakimbilia usalama kwangu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitakuachia ndani yako wapole na wanyenyekevu, ambao wanatumaini jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nitasaza ndani yako watu walioonewa na maskini, nao watalitumainia jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuachia watu wapole na wanyenyekevu ambao watakimbilia usalama kwangu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitakuachia ndani yako wapole na wanyenyekevu, ambao wanatumaini jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitakuachia ndani yako wapole na wanyenyekevu, ambao wanatumaini jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nitabakiza ndani yako watu walioonewa na maskini, nao watalitumainia jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuachia watu wapole na wanyenyekevu ambao watakimbilia usalama kwangu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitasaza mwako watu walio wanyonge na wanyenyekevu watakaolijetea Jina la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nitasaza ndani yako watu walioonewa na maskini, nao watalitumainia jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakuachia watu wapole na wanyenyekevu ambao watakimbilia usalama kwangu mimi Yawe.