Zephaniah 3:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Imba kwa sauti, ewe Siyoni, paza sauti ee Israeli. Furahi na kushangilia kwa moyo wote, ewe Yerusalemu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Imba, ee Binti Sayuni; paza sauti, ee Israeli! Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, ee Binti Yerusalemu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli; Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Imba kwa sauti, ewe Siyoni, paza sauti ee Israeli. Furahi na kushangilia kwa moyo wote, ewe Yerusalemu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Imba, Ee Binti Sayuni; paza sauti, Ee Israeli! Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee Binti Yerusalemu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Imba, ee Binti Sayuni; paza sauti, ee Israeli! Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, ee Binti Yerusalemu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli; Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Imba kwa sauti, ewe Siyoni, paza sauti ee Israeli. Furahi na kushangilia kwa moyo wote, ewe Yerusalemu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Piga vigelegele, binti Sioni! Shangilieni, ninyi Waisiraeli! Nawe binti Yerusalemu, furahiwa kwa moyo wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli; Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Imba kwa sauti, ewe Sayuni, piga vigelegele, ee Israeli. Furahi na kushangilia kwa moyo wote, ewe Yerusalema!