Zephaniah 3:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, mji wa Yerusalemu utaambiwa: “Usiogope, ee Siyoni, usilegee mikono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu, “Usiogope, ee Sayuni; usiiache mikono yako ilegee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku ile Yerusalemu utaambiwa, Usiogope, Ee Sayuni; mikono yako isilegee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, mji wa Yerusalemu utaambiwa: “Usiogope, ee Siyoni, usilegee mikono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu, “Usiogope, Ee Sayuni; usiiache mikono yako ilegee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hiyo watauambia Yerusalemu, “Usiogope, ee Sayuni; usiiache mikono yako ilegee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku ile Yerusalemu utaambiwa, Usiogope, Ee Sayuni; mikono yako isilegee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, mji wa Yerusalemu utaambiwa: “Usiogope, ee Siyoni, usilegee mikono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo Yerusalemu utaambiwa: Usiogope! Nawe Sioni utaambiwa: Mikono yako isilegee tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku ile Yerusalemu utaambiwa, Usiogope, Ee Sayuni; mikono yako isilegee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, Yerusalema utaambiwa: Usiogope, ee Sayuni, usilegee mikono.