Zephaniah 3:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama vile katika siku ya sikukuu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Nitakuondolea maafa yako, nawe hutahitaji kuona aibu kwa ajili yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Huzuni katika sikukuu zilizoamriwa nitaziondoa kwenu; hizo ni mzigo na fedheha kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawakusanya wanaousikitikia mkutano wa ibada, hao waliokuwa wa kwako; ambao mzigo uliokuwa juu yake ulikuwa fedheha kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama vile katika siku ya sikukuu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Nitakuondolea maafa yako, nawe hutahitaji kuona aibu kwa ajili yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Huzuni katika sikukuu zilizoamriwa nitaziondoa kwenu; hizo ni mzigo wa fedheha kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Huzuni katika sikukuu zilizoamriwa nitaziondoa kwenu; hizo ni mzigo na fedheha kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawakusanya wanaousikitikia mkutano wa ibada, hao waliokuwa wa kwako; ambao mzigo uliokuwa juu yake ulikuwa fedheha kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama vile katika siku ya sikukuu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Nitakuondolea maafa yako, nawe hutahitaji kuona aibu kwa ajili yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye masikitiko wasioingia mikutano ya sikukuu nitawakusanya, kwani nao ni wa kwako, ingawa wawe wametwikwa yawatiayo soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawakusanya wanaousikitikia mkutano wa ibada, hao waliokuwa wa kwako; ambao mzigo uliokuwa juu yake ulikuwa fedheha kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama vile katika siku ya sikukuu. Yawe anasema: Nitakuondolea hasara zako, nawe hautahitaji kupata haya kwa ajili yake.