Zephaniah 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hausikilizi onyo lolote, wala haukubali kukosolewa. Haukumtegemea Mwenyezi-Mungu kamwe, wala kumkaribia Mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hautii mtu yeyote, haukubali maonyo. Haumtumaini Mwenyezi Mungu, haukaribii karibu na Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakuitii sauti; hakukubali kurudiwa; hakumwamini Bwana; hakumkaribia Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hausikilizi onyo lolote, wala haukubali kukosolewa. Haukumtegemea Mwenyezi-Mungu kamwe, wala kumkaribia Mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hautii mtu ye yote, haukubali maonyo. Haumtumaini BWANA, haukaribii karibu na Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hautii mtu yeyote, haukubali maonyo. Haumtumaini bwana, haukaribii karibu na Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakuitii sauti; hakukubali kurudiwa; hakumwamini BWANA; hakumkaribia Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hausikilizi onyo lolote, wala haukubali kukosolewa. Haukumtegemea Mwenyezi-Mungu kamwe, wala kumkaribia Mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haukusikia ulipoambiwa neno, ukakataa kuonyeka, haukumtegemea Bwana, ukakataa kumkaribia Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakuitii sauti; hakukubali kurudiwa; hakumwamini BWANA; hakumkaribia Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hausikilizi onyo lolote, wala haukubali kutii. Haukumutegemea Yawe hata kidogo, wala kumukaribia Mungu wake.