Zephaniah 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo nitaibadili lugha ya watu, nitawawezesha kusema lugha adili ili waniite mimi Mwenyezi-Mungu, na kuniabudu kwa moyo mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, kwamba wote waweze kuliitia jina la Mwenyezi Mungu na kumtumikia kwa pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la Bwana, wamtumikie kwa nia moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo nitaibadili lugha ya watu, nitawawezesha kusema lugha adili ili waniite mimi Mwenyezi-Mungu, na kuniabudu kwa moyo mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, kwamba wote waweze kuliitia jina la BWANA na kumtumikia kwa pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, kwamba wote waweze kuliitia jina la bwana na kumtumikia kwa pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la BWANA, wamtumikie kwa nia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo nitaibadili lugha ya watu, nitawawezesha kusema lugha adili ili waniite mimi Mwenyezi-Mungu, na kuniabudu kwa moyo mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hapo ndipo, nitakapoigeuza midomo ya makabila ya watu, iwe imetakata, wao wote pia walitambikie Jina la Bwana na kumtumikia kwa kuwa kundi moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hapo ndipo nitakapowarudishia mataifa lugha iliyo safi, wapate kuliitia jina la BWANA, wamtumikie kwa nia moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo nitabadilisha luga ya watu, nitawawezesha kusema luga safi kusudi waniite mimi Yawe, na kuniabudu kwa moyo mumoja.