bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
/
Psalms 105
Psalms 105
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
1
Mshukuruni Mwenyezi Mungu, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa aliyoyatenda.
2
Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu.
3
Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu na ifurahi.
4
Mtafuteni Mwenyezi Mungu na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.
5
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,
6
enyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
7
Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, hukumu zake ziko duniani kote.
8
Hulikumbuka agano lake milele, neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu,
9
agano alilolifanya na Ibrahimu, kiapo alichomwapia Isaka.
10
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:
11
“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani kuwa sehemu utakayoirithi.”
12
Walipokuwa wachache kwa idadi, wachache sana na wageni ndani yake,
13
walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.
14
Hakuruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
15
“Msiwaguse niliowapaka mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”
16
Akaiita njaa juu ya nchi na kuharibu chakula chao chote,
17
naye akatuma mtu mbele yao, Yusufu, aliyeuzwa kama mtumwa.
18
Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma,
19
hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Mwenyezi Mungu lilipomthibitisha.
20
Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
21
Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala wa vyote alivyokuwa navyo,
22
kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.
23
Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu.
24
Mwenyezi Mungu aliwafanya watu wake kuzaana sana; aliwafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao.
25
Aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.
26
Akamtuma Musa mtumishi wake, pamoja na Haruni, aliyemchagua.
27
Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu.
28
Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
29
Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa.
30
Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao.
31
Alisema, yakaja makundi ya inzi, na viroboto katika nchi yao yote.
32
Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye miali ya radi nchini yao yote,
33
akaharibu mizabibu yao na miti ya tini, na akaangamiza miti ya nchi yao.
34
Alisema, nzige wakaja, tunutu wasio na idadi,
35
wakala kila jani katika nchi yao, wakala mazao ya ardhi yao.
36
Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, matunda ya kwanza ya ujana wao wote.
37
Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka makabila yao aliyejikwaa.
38
Misri ilifurahi walipoondoka, kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia.
39
Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku.
40
Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.
41
Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.
42
Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Ibrahimu mtumishi wake.
43
Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe,
44
akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali ambayo wengine walikuwa wameitaabikia:
45
alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Mwenyezi Mungu.
← Chapter 104
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 106 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150