bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Corinthians 5
1 Corinthians 5
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 6 →
1
Po pote panasikilika, ya kwamba kwenu uko ugoni; tena ugoni ulio hivyo hata kwa wamizimu hauko, mtu akiwa na mke wa baba yake.
2
Nanyi mnajitutumua, hamkusikitika hata kidogo. Je? Aliyekifanyiza kitendo hicho ameondolewa kati yenu?
3
Hata nisipokuwako kwenu na mwili wangu, lakini moyo uko kwenu. Hivyo, kama niko kwenu, nimekwisha kumhukumu yule aliyekitenda kibaya kilicho hivyo:
4
katika Jina la Bwana Yesu kusanyikeni ninyi na roho yangu pamoja na nguvu ya Bwana wetu Yesu!
5
Kisha yule mtu aliye hivyo mmtoe na kumpa Satani, mwili wake uangamizwe, roho yake ipate kuokoka, siku ile ya Bwana itakapotimia.
6
Majivuno yenu si mema. Hamjui, ya kuwa chachu kidogo hulichachusha donge lote?
7
Iondoeni kabisa ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya kwa hivyo, mlivyo pasipo chachu! *Kwani nasi tumechinjiwa kondoo wetu wa Pasaka, ndiye Kristo.
8
Kwa hiyo tuile sikukuu yetu pasipo chachu ya kale wala chachu yenye uovu na ubaya, tuyapate yale yasiyochachwa, ndiyo mioyo ing'aayo iliyo yenye ukweli.*
9
Naliwaandikia ninyi katika barua yangu kwa kwamba: Msichanganyike na wagoni!
10
Hapo sikuwasema wagoni wa ulimwengu huu au wenye choyo na wanyang'anyi au wenye kutambikia mizimu. Kama vingekuwa hivyo, ingewapasa kutoka ulimwenguni.
11
Lakini hapo nimewaandikia, msichanganyike na mtu aitwaye ndugu, akiwa mgoni au mwenye choyo au mtambikia mizimu au mwenye matusi au mlevi au mnyang'anyi; basi, ndugu aliye hivyo msile naye!
12
Kwani nina jambo gani nao walioko nje, niwaumbue? Nanyi si kazi yenu kuwaumbua hao, mlionao?
13
Walioko nje Mungu ndiye atakayewaumbua. Mwondoeni yule mbaya, atoke katikati yenu ninyi!
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 6 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16