bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
1 Samuel 27
1 Samuel 27
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 26
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 28 →
1
Dawidi akasema moyoni mwake kwamba: Siku moja nitaangamizwa kwa mkono wa Sauli; sitaona mema, nisipojiponya kabisa na kuikimbilia nchi ya Wafilisti, Sauli akate tamaa za kunitafuta tena katika mipaka yote ya Waisiraeli; ndivyo, nitakavyoponyoka mkononi mwake.
2
Kwa hiyo Dawidi akaondoka, akapita mpaka yeye na watu 600 waliokuwa naye, wakaenda kwa Akisi, mwana wa Maoki, mfalme wa Gati.
3
Dawidi akakaa kwa Akisi huko Gati yeye na watu wake, kila mtu na mlango wake. Yeye Dawidi alikuwa na wakeze wawili, Ahinoamu wa Izireeli na Abigaili, mkewe Nabali wa Karmeli.
4
Sauli alipopashwa habari, ya kuwa Dawidi amekimbilia Gati, hakuendelea tena kumtafuta.
5
Kisha Dawidi akamwambia Akisi: Kama nimeona upendeleo machoni pako, na wanipe pa kukaa katika mji mmoja wa porini, nikae huko! Inakuwaje, mtumishi wako akikaa kwako katika mji wa kifalme?
6
Ndipo, Akisi alipompa Siklagi siku hiyo; ndivyo, Siklagi ulivyopata kuwa wao wafalme wa Wayuda mpaka siku hii ya leo.
7
Hesabu ya siku, Dawidi alizokaa katika nchi ya Wafilisti, ikawa mwaka na miezi minne.
8
Ndipo, Dawidi na watu wake walipopanda, wakawashambulia Wagesuri na Wagirzi na Waamaleki, kwani hawa ndio waliokaa katika nchi hiyo tangu zamani zote, kufika Suri hata nchi ya Misri.
9
Dawidi alipoipiga hiyo nchi, hakuacha mume wala mke, asimwue, akachukua mbuzi na kondoo na ng'ombe na punda na ngamia na nguo, kisha akarudi kufika kwa Akisi.
10
Akisi alipomwuliza: Leo mmeshambulia wapi? Dawidi hujibu: Upande wa kusini wa Yuda, au: Upande wa kusini wa Wayerameli, au: Upande wa kusini wa Wakeni.
11
Dawidi asipoacha mume wala mke, asimwue, ni kwa kwamba asiwapeleke Gati, wakayasimulia matendo yetu kwamba: Hivi ndivyo, Dawidi alivyovifanya. Hii desturi yake Dawidi akaifuata siku zile zote, alizokaa katika nchi ya Wafilisti.
12
Akisi akamtegemea Dawidi kwamba: Kwa kuwa amejipatia mnuko mbaya kwao walio ukoo wake wa Waisiraeli, atakuwa mtumishi wangu kale na kale.
← Chapter 26
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 28 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31