bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 10
Job 10
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 9
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 11 →
1
Roho yangu inachukizwa na kuwapo kwangu, kwa hiyo sitajikataza kupiga kite, na niseme kwa uchungu wa roho yangu.
2
Nitamwambia Mungu: Usiniwazie kuwa mwovu! Ila nijulishe sababu za kunigombeza!
3
Je? Kwako ni vema, ukimkorofisha mtu? Kiumbe, mikono yako ilichokisumbukia, ukatitupa, uyaangaze mashauri yao wasiokucha?
4
Je? Wewe nawe unayo macho ya kimwili? Kama mtu anavyoona, ndivyo, unavyoona nawe?
5
Kama siku za mtu zilivyo, ndivyo, zilivyo nazo siku zako? Au miaka yako inafanana nazo siku zake mtu mume?
6
Kwani unaninyatia, uone manza, nilizozikora, ukayatafuta makosa yangu mimi.
7
Tena unanijua kuwa mtu asiyeacha kukucha, ya kuwa hakuna atakayeniponya mkononi mwako.
8
Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunitengeneza, ikanipatia yote, niliyo nayo, nawe unaniangamiza!
9
Kumbuka, ya kuwa ulinifinyanga kama udongo! Tena unataka kunirudisha uvumbini?
10
Kama maziwa mabichi ulinimwaga ukanigandisha kuwa kama maziwa mabivu.
11
Kisha ukanivika ngozi na nyama, kazi ya kuiunga mifupa na mishipa yangu, ilipokuwa imekwisha.
12
Ukanipatia uzima na upendeleo, ukaikagua roho yangu na kuiangalia.
13
Tena ukaficha moyoni mwako mawazo kama hayo, najua, ya kuwa unayo kweli yale ya kutaka,
14
uniangalie, kama ninakosa, usinikomboe katika manza, nitakazozikora.
15
Kama nafanya maovu, nitaangamia; lakini hata nisipokosa, sitaweza kukiinua kichwa changu, kwani nashiba kwa kuona soni nikiutazama unyonge wangu.
16
Kama kichwa changu kingeinuka, ungenikimbiza kama simba, ukanirudia na kunionyesha mastaajabu yako;
17
ungetoa mara kwa mara mashahidi wa kunisuta, upate kuyazidisha makali ya kunitolea, wawe vikosi vizima vyao wanaopokeana kunitesa.
18
Kwa sababu gani ulinitoa tumboni mwa mama? Macho ya watu yalipokuwa hayajaniona bado, ningalizimia hapo,
19
ningalikuwa kama mtu asiyepata kuwapo, ningalipelekwa kaburini hapo, nilipotoka tumboni mwa mama.
20
Siku zangu zilizosalia si chache tu? Kwa hiyo na akome, na aniache, nipate kuchangamka kidogo,
21
nikiwa sijaenda bado hapo, ambapo sitaweza kutoka, nirudi huku, nikikaa katika ile nchi yenye giza penye kivuli kiuacho;
22
ni nchi yenye giza jeusi kama usiku wa manane, ni nchi ikaayo kivuli kiuacho, tena ni nchi ikosayo matengenezo yo yote, nayo ikiangazika huwa vilevile kama usiku wa manane. Sofari na Nama akajibu akisema:
← Chapter 9
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 11 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42