bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 11
Job 11
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
1
Maneno mengi kama hayo yasijibiwe?
2
Au mtu ajuaye kusema hivyo atakuwa mwongofu?
3
Watu wengine wayanyamazie tu mapuzi yako, asioneke mtu atakayekutweza, wewe ukimfyoza?
4
Wewe tu useme: Maelezo yangu ni ya kweli, nami nimetakata machoni pako?
5
Laiti Mungu akutolee maneno kwa kusema na kuifumbua midomo yake, akushinde!
6
Akakufunulia navyo vilindi vya ujuzi wa kweli vilivyofichwa, kwani mizungu iliyomo hufaa mara mbili; ndipo, utakapojua, ya kuwa Mungu amekuondolea manza, ulizozikora.
7
Je? Waweza kuuvumbua mwanzo wake Mungu usiochunguzika? Au waweza kuyapambazua yake Mwenyezi yatakayokuwa ya mwisho?
8
Yakiwa juu mbinguni, utafanyaje? Yakiwa chini ndani kupita kuzimuni, utajuaje?
9
Ukitaka kuupima urefu wake, unaupita wa nchi, nao upana wake unaupita wa bahari.
10
Yeye akitokea na kupita, afunge watu, yuko nani awezaye kumrudisha nyuma, aliyempeleka shaurini?
11
Kwani yeye anawajua wasiofaa kitu, huwaona waovu, ijapo asiwaangalie.
12
Hapo naye mwenye kichwa kikosacho akili sharti aerevuke, kwani mtu huwa kama mwana wa punda wa nyikani siku akizaliwa.
13
Kama wewe ungeulinganya vema moyo wako, na kumkunjulia mikono yako,
14
kama ungeuondoa uovu uliomo mkononi mwako, ujiendee mbali, kama ungeukataza upotovu kukaa hemani mwako,
15
basi, ungeweza kuuinua uso wako pasipo uchafu wo wote; kwa kuwa umeshikizwa vema, usiogope cho chote!
16
Ndipo, wewe utakapoyasahau nayo masumbuko, yatakuwa kama maji yaliyokupwa hapo, utakapoyakumbuka.
17
Ndipo, utakapotokewa na siku ziangazazo kuliko jua la mchana, napo palipokuwa na giza patakuwa kama mapambazuko.
18
Kwa kuwa na kingojeo utapata cha kukijetea, utakapochungulia nyumbani mwako utalala na kutulia.
19
Tena hatakuwako atakayekustusha hapo, utakapolala, nao wengi watajipendekeza usoni kwako.
20
Lakini macho yao wasiomcha Mungu yataingiwa na kiwi, mahali pa kupakimbilia patawapotelea, kingojeo chao kitakuwa hiki tu: kutoa roho. Iyobu akajibu akisema:
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 12 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42