bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 16
Job 16
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 17 →
1
Maneno kama haya nimeyasikia mara nyingi,
2
ninyi nyote mwatuliza moyo na kuusumbua!
3
Maneno yaliyo kama upepo yamekwisha? Au kuna nini kinachokuchochea, ukinijibu hivyo?
4
Mimi nami ningeweza kusema kama ninyi; kama roho zenu zingekuwa mahali pake roho yangu, nami ningeweza kukusanya maneno mazuri ya kuwaambia pamoja na kuwatingishia kichwa changu.
5
Lakini kwa maneno ya kinywa changu ningewatia nguvu, nayo midomo yangu ingewatuliza mioyo kwa kuwakingia maovu.
6
Lakini maumivu yangu hayazuiliki, ijapo niseme; tena kuna nini ninayopungukiwa, nikiacha kusema?
7
Kwa kuuangamiza mlango wangu wote amenichokesha sasa.
8
Wewe ukanikunjamanisha, upate ushahidi wa kunishinda, nako kukonda kwangu kwaniinukia, kunisute usoni pangu.
9
Ukali wake ukaninyafua kwa kunionea tu, nayo meno yake huyatumia ya kunikerezea, akanikazia macho yake makali, yeye mpingani wangu.
10
Wako wanaoniasamia vinywa vyao, wakanipiga mashavu na kunitukana, wote pia wakakusanyika kunijia mimi.
11
Mungu akanifunga, kisha akanitoa, wao wanipotoe, akanitia mikononi mwao wasiomcha.
12
Nalikaa na kutengemana, mara akaniponda, akanikamata shingoni, akanibwaga mwambani, kisha akanisimamisha tena, niwe shabaha yake.
13
Wapigaji wake wa mishale wakanizunguka, wakanipasua mafigo yangu pasipo huruma, nayo maji yangu ya nyongo wakayamwaga chini.
14
Kwa kunitia kidonda kwa kidonda akaniumiza vibaya, kama fundi wa vita akanijia na kupiga mbio sana.
15
Gunia la kuifunika ngozi ya mwili wangu ndilo, nililojishonea, nayo pembe yangu nikaichomeka uvumbini.
16
Uso wangu ukaiva sana kwa kulia, napo penye kope zangu kiko kivuli kama cha kifo.
17
Tena mikononi mwangu hamna ukorofi, nayo maombo yangu hutakata.
18
Usiifunike damu yangu, wewe nchi, wala malalamiko yangu yasipate kituo!
19
Jueni: Hata sasa yuko shahidi wangu kule mbinguni, huko juu yuko atakayenitetea.
20
Rafiki zangu wananifyoza, lakini macho yangu hivyo, yanavyojaa machozi, humtazamia Mungu.
21
Yeye Mungu amwamulie mtu, ijapo ashindane naye, hata mwana wa Adamu akishindana na mwenzake, amkatie shauri.
22
Kwani miaka imekwisha hesabiwa itakayokuja; nayo itakapokwisha, sina budi kuishika ile njia isiyo na kurudi.
← Chapter 15
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 17 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42