bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 17
Job 17
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 16
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 18 →
1
Roho yangu imenyongeka, siku zangu zinataka kuzimika, ni penye makaburi tu panaponingoja.
2
Lakini na sasa yako masimango, wanayonitolea, nami sina budi kutazama tu kwa macho yangu, wakinitia uchungu.
3
Nakuomba, jitoe mwenyewe kuniwia kole, kwani yuko wapi mwingine atakayepeana mikono na mimi?
4
Kwa kuwa umeuficha ubingwa, usije mioyoni mwao, kwa hiyo hutawaacha tu, wajikuze wenyewe.
5
Mtu akiwaalika wenziwe kugawanyiana fungu lake mwingine, ndipo, yatakapozimia macho yao wanawe huyo mtu.
6
Aliyemweka kuwa fumbo la watu, ni mimi, mtu wa kutemewa mate usoni nitakuwa mimi.
7
Kwa hiyo macho yangu yameingiwa kiwi kwa majonzi, navyo viungo vyangu vyote pia viko kama kivuli.
8
Wanyokao wanayastuka sana mambo hayo, nao watakatao wanachafuka sana kwa ajili yao wambezao Mungu.
9
Lakini mwenye kuishika njia yake ni mwongofu, naye mwenye mikono iliyo safi huongezeka nguvu.
10
Lakini ninyi nyote rudini, mje kwangu, ingawa nisione aliye mwerevu wa kweli miongoni mwenu.
11
Siku zangu zimekwisha kupita, mawazo yangu nayo yamekwisha kukatika, tena ndiyo yaliyokuwa mapato ya moyo wangu.
12
Ingawa waugeuze usiku kuwa mchana, na kuniambia: Mwanga uko karibu kwako kuliko giza,
13
nakungojea kuzimu tu kuwa nyumba yangu, nukitandikie malalo yangu kwenye giza.
14
Kaburi sina budi kuliita: baba yangu ni wewe, navyo vidudu: mama yangu na maumbu zangu.
15
Kwa hiyo kingojeo changu kingine kiko wapi? kilicho kingojeo changu, yuko nani atakayekichungulia?
16
Nacho kitashuka kufika penye makomeo ya kuzimu; ndiko, tutakakotulia pamoja uvumbini. Bildadi wa Sua akajibu akisema:
← Chapter 16
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 18 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42