bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 18
Job 18
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 19 →
1
Hata lini mtatanda matanzi, yanase maneno?
2
Itambueni maana, kisha tusemeane!
3
Tukiwaziwa kuwa kama nyama, ni kwa sababu gani? Mbona tunawaziwa kuwa wenye uchafu machoni penu?
4
Wewe unajirarua mwenyewe kwa ukali wako? Je? Kwa ajili yako wewe nchi itaachwa, isikae mtu? Au mwamba utaondoka mahali, ulipokuwa?
5
Kweli mwanga wake asiyemcha Mungu utazima, nazo cheche za moto wake hazitaangaza.
6
Mwanga utakuwa giza hemani mwake, nacho kinara chake kilichomo kitazima.
7
Miguu yake iliyokwenda kwa nguvu itasongeka, mashauri yake, aliyowapa wengine, yatambwaga chini.
8
Kwani atanaswa miguu yake kwa wavu akitembea penye matanzi yaliyofichwa.
9
Itakayokikamata kisigino chake ni kamba, itamshika kwa nguvu, mtambo ukifyatuka.
10
Kitanzi cha kumnasia kimefichwa mchangani, hata njiani amewekewa mtego wa kumkamatia.
11
Vitisho humstusha po pote na kuitia miguu yake woga, ikimbie sana.
12
Mabaya yanayomtaka ni yenye njaa ya kumla, mwangamizo uko tayari, upate kumwangusha,
13
utavila viungo vya kuungia mwili ngozini mwake; mwana wa kwanza wa kifo atavila kweli hivyo viungo vyake.
14
Atatolewa kwa nguvu hemani mwake, alimokimbilia, aendeshwe kufika kwake mfalme aliye mwenye mastusho.
15
Hemani mwake watakaa wasio wa ukoo wake, nayo mawe ya kiberiti yatamwagwa juu ya kao lake.
16
Chini mizizi yake itakauka, hata juu matawi yake yatanyauka.
17
Ukumbuko wake utapotea, utoweke huku nchini, hatakuwa kabisa na sifa yo yote kwao walioko nje.
18
Watamkumba, atoke mwangani, aje gizani, watamfukuza, atoke kabisa humu ulimwenguni.
19
Hatakuwa na mwana wala mjukuu katika ukoo wake, wala hatakuwako atakayesalia katika makao yake.
20
Siku yake wataistukia sana watakaotokea nyuma, kama wao waliokuwa mbele walivyokufa ganzi.
21
Hayo ndiyo yatakayoyapata makao ya mpotovu napo mahali pake yeye asiyemjua Mungu. Iyobu akajibu akisema:
← Chapter 17
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 19 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42