bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 22
Job 22
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 21
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 23 →
1
Mtu anayeweza kumfalia Mungu yuko wapi?
2
Kwani mwenye akili hujifalia mwenyewe tu.
3
Itampendeza Mwenyezi, ukiwa mwongofu? Anapata nini, ukizitengeneza njia zako, zisikukoseshe?
4
Je? Anakupatiliza kwa kumwogopa? Hii ndiyo sababu ya kukupeleka shaurini?
5
Siyo mabaya yako yaliyo mengi? Hakuna kikomo cha manza, unazozikora.
6
Kwani ndugu zako uliwatoza rehani bure tu, nao wakosao nguo ukawavua mavazi.
7
Mwenye kiu hukumpa maji, apate kunywa, naye mwenye njaa ukamnyima chakula.
8
Aliyekuwa mwenye mkono, nchi ikawa yake, naye aliyejivuna usoni pa watu ndiye aliyepata kukaa huku.
9
Wajane uliwafukuza kwako, wajiendee mikono mitupu, nao waliofiwa na wazazi wakaumizwa mikono.
10
Kwa hiyo sasa matanzi yanakuzunguka pande zote, mara yanafyatuka, yakutie woga.
11
Au hiyo giza nayo huioni? Wala furiko la maji litakalokufunika?
12
Je? Mungu hayuko mbinguni juu? Zitazame nazo nyota zilizoko mbali juu ya kichwa chako!
13
Nawe unasema: Mungu anayoyajua ndio nini? Akiwa mawinguni mwenye weusi atawezaje kutuamua?
14
Hujificha mle mawinguni, asione kitu; hutembea na kuzunguka mbinguni tu.
15
Je? Unaiangalia njia ya kale, usiiache? Nao walioikanyaga ni watu waovu.
16
Siku zao zilipokuwa hazijatimia bado, ndipo, walipopokonywa, msingi wao ulipoyeyuka kuwa kama jito;
17
ndio, waliomwambia Mungu: Ondoka kwetu! Yako mambo gani atakayotufanyizia huyo Mwenyezi?
18
Naye ndiye aliyezijaza nyumba zao vitu vyema; kwa hiyo mawazo yao wasiomcha na yawe mbali, yasinifikie!
19
Waongofu wakiyaona watafurahi, naye atakataye atawasimanga kwamba:
20
Kumbe waliotuinukia wametoweka, nayo masao yao moto umeyala!
21
Jizoeze kuandamana naye Mungu, upate kutengemana! Mema yake yatakavyokufikia, ndivyo hivyo.
22
Kinywa chake kikikuonya, mwitikie, nayo maneno yake yaweke moyoni mwako!
23
Utakaporudi kwake Mwenyezi utajengwa, ni hapo, utakapoutoa upotovu mahemani mwako, usikukaribie tena.
24
Huo mchanga wenye dhahabu uutupe uvumbini, nayo dhahabu ya Ofiri itupe penye vijiwe vya mito!
25
Ndipo, Mwenyezi atakapokuwa dhahabu zako na fedha zako zipitazo nyingine kwa kima kikuu.
26
Hapo ndipo, utakapomfurahia aliye Mwenyezi na kumwelekezea Mungu uso wako.
27
Utakapomlalamikia, atakusikia, nawe utayalipa uliyoyaapa, umtolee yayo hayo.
28
Nalo utakalowaza kulifanya, utafanikiwa, hata katika njia zako mwanga utakumulikia.
29
Zitakapokunyenyekeza, utasema: Na nitukuke, naye aliye mnyenyekevu machoni pake mwenyewe atamwokoa.
30
Naye asiyetakata atamponya, kweli atapona kwa mikono yako, ikiwa imetakata. Iyobu akajibu, akisema:
← Chapter 21
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 23 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42