bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 23
Job 23
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 24 →
1
Je? Hata leo maombolezo yangu ni kumkataa Mungu?
2
Kwani mkono wangu umelemea kwa kupiga kite.
3
Ninatamani kuijua njia ya kumwona, nifike hapo, anapokaa.
4
Ningemwelezea shauri langu, alijue, nikakijaza kinywa changu maneno ya kushindana naye.
5
Ningejua maneno, atakayonijibu, na kuyatambua, atakayoniambia.
6
Je? Kwa nguvu zake nyingi angenigombeza? Sivyo, mwenyewe angeniangalia na kunisikia.
7
Hapo ningeshindwa naye kwa kunyoka, nikapona kale na kale mikononi mwake anihukumuye.
8
Lakini nikienda upande wa maawioni kwa jua, hayuko; wala upande wa machweoni kwa jua simwoni,
9
wala kushotoni, kama yuko katika kazi zake, simpati, tutazamane; wala kuumeni simwoni, sijui, alikogeukia.
10
Lakini anaijua njia, niliyoishika: kama angenijaribu, ningetokea nikitakata kama dhahabu.
11
Kwani miguu yangu imeshika njia ya kuzifuata nyayo zake yeye, nikaiangalia hiyo njia yake, nisiiache.
12
Sikurudi nyuma na kuliacha agizo la midomo yake, maneno ya kinywa chake nikayaangalia kuliko maongozi yangu.
13
Lakini yeye alivyo, ndivyo alivyo, yuko nani awezaye kumgeuza? nayo roho yake inayoyataka kweli, huyafanya.
14
Hivyo atayatimiliza nayo, aliyoyaagiza, yanipate mimi; yako mengi yaliyomo moyoni mwake kama hayo.
15
Kwa hiyo nitastuka, nitakapomwona, nashikwa na woga naye nikijaribu kumtambua.
16
Mungu ameutisha moyo wangu, yeye Mwenyezi akanistusha.
17
Kwani kwa kuogopa giza sizimii, wala kwa kuliona giza lenye weusi, jinsi lilivyonifunika.
← Chapter 22
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 24 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42