bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 28
Job 28
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 27
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 29 →
1
Fedha zina mahali pao zinapoonekana, nazo dhahabu zina mahali pao, wanapozifulia mitoni.
2
Vyuma vinachimbuliwa uvumbini, tena yako mawe yanayotokea shaba kwa kuyeyushwa.
3
Nalo giza mtu analikatia mpaka, ayachunguze mawe yaliyoko kule kuliko na giza lenyewe kwenye mlango wa kuzimu.
4
Huko anachimbua shimo refu sana, kisha nayo njia ya ndani ya nchi pasipokaa watu; wanawahauliwa kwa kuwa chini ya hapo, watu wanapokanyaga; ndiko, wanakojiangika na kuning'inia, watu wengine wakiwa mbali.
5
Nchi itoayo chakula juu chini yake inafudikizwa kwa kuchimbuliwa na nguvu zilizo sawa nazo za moto.
6
Mahali pamojamoja huonekana mawe yenye almasi, pengine nayo madongo yenye dhahabu.
7
Naye tai haijui njia hiyo, wala macho ya kozi hayajaiona kwa kuchungulia.
8
Nyama wakali wenye majivuno hawajaikanyaga, wala simba mwenyewe hajaishika.
9
Nayo mawe magumu yenyewe mtu huyavunja kwa mkono wake, hata milima anaifudikiza kwa kuichimbua toka misingini.
10
Miambani anachonga njia za kupitia ndani yao; ndivyo, macho yake yanavyoona yote yaliyo yenye kima.
11
Vijito vya ndani anaviziba, visimchuruzikie maji, apate kuyatokeza mwangani yaliyofichika ndani ya nchi.
12
Lakini werevu wa kweli unaonekana wapi? napo mahali penye utambuzi pako wapi?
13
Hakuna mtu ajuaye, unapotengenezwa, hauonekani katika nchi yao wenye uzima.
14
Vilindi husema: Kwetu sisi hauko, nayo bahari husema: mimi nami sinao.
15
Hata kwa dhahabu safi haupatikani, wala haulipiki kwa fedha kuwa bei yake,
16
wala haupimiki kwa dhahabu tupu ile ya Ofiri, wala kwa almasi au kwa vito vya sardio vilivyo vyenye kima.
17
Wala dhahabu wala vioo vizuri mno ndivyo vinavyolingana nao, wala haununuliki kwa vyombo vya dhahabu vyenye urembo.
18
Marijani na ulanga uangazikao vizuri hayakumbukwi uliko, kuwa na werevu wa kweli ni mali kuliko lulu.
19
Hauwezekani kulinganishwa navyo vito vya topasio vitokavyo Nubi, wala haupimiki kwa dhahabu itakatayo kabisa.
20
Je? Werevu wa kweli unatoka wapi? napo mahali penye utambuzi pako wapi?
21
Umefichika machoni pao wote walio wenye uzima, nao ndege wa angani hawauoni, kwa kuwa uko umefunikwa.
22
Kuzimu nacho kifo husema: Kwa masikio yetu tulisikia tu, ukitajwa.
23
Mungu anaitambua njia ya kwenda kwake, yeye tu anapajua, hapo pake ulipo.
24
Kwani yeye huchungulia hata mapeoni kwa nchi, huyaona yaliyoko chini ya mbingu.
25
Alipoutengeneza ukali wa upepo, alipoupima wingi wa maji,
26
alipoyatengeneza maongozi ya mvua nayo njia ya umeme ulio wenye ngurumo:
27
hapo ndipo, alipouona, kisha akautangaza kwa watu, akaushikiza, akauchunguza.
28
Kisha akawaambia watu: Tazameni! Kumcha Bwana ndio werevu wa kweli, kuyaepuka mabaya ndio utambuzi. Iyobu akaendelea kutoa mifano akisema:
← Chapter 27
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 29 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42