bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 36
Job 36
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 35
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 37 →
1
Ningoje kidogo, nikueleze mambo!
2
Kwani yako mengine ya Mungu, nitakayoyasema.
3
Haya, ninayoyajua, niliyatoa mbali, nimtokeze yeye aliyenifanya kuwa mwenye wongofu.
4
Kweli maneno yangu siyo ya uwongo, anayesema na wewe ni mwenye ujuzi utimilikao.
5
Tazama! Mungu ni mwenye uwezo, lakini hamtupi mtu, ni mwenye uwezo kwa nguvu zilizo za moyo.
6
Hamkalishi uzimani asiyemcha, lakini watesekao huwakatia mashauri yaliyo sawa.
7
Kwake mwongofu hayaondoi macho yake, anawakalisha pamoja na wafalme katika viti vya kifalme, wakae hapo kale na kale, wapate kutukuka.
8
Lakini walipofungwa kwa mapingu, au walipokamatwa kwa kamba za mateso,
9
ndipo, anapowaelezea matendo yao, wayaone, jinsi yalivyo, huwaonyesha mapotovu yao, waliyoyafanya kwa kujikuza.
10
Hapo huwafunulia masikio, wasikie, akiwaonya, na kuwaambia, warudi na kuyaacha maovu yao, akiwatisha.
11
Ikiwa, wanamsikia, waje kumtumikia, ndipo, watakapozimaliza siku zao na kuona mema, nayo miaka yao na kuifurahia;
12
wengine sharti wapite penye mishale iuayo, ndio wasiomsikia; kwa kukosa ujuzi watazimia.
13
Ndipo, wenye mioyo mipotovu watakapokasirika, lakini hawatajipa mioyo ya kupiga kelele, ya kuwa aliwafunga.
14
Hivyo roho zao zitakufa katika ujana wao, nayo mioyo yao huzimia kwao wagoni.
15
Lakini watesekao huwaponya katika mateso yao, akawafunua masikio kwa kuwasonga.
16
Wewe nawe anakutaka, akuopoe katika masongano, akuweke papana pasipokusonga, nawe uandaliwe yenye mafuta mengi mezani pako.
17
Lakini ukizidi kuzitamani hukumu zao wasiomcha Mungu. basi, hukumu zao na mashauri yao yatakupata kweli.
18
Angalia, ukali usikuponze, ukitukana, wala wingi wa makombozi usikupoteze!
19
Je? Makelele yako yatakupatia mahali pasiposongeka, ijapo, ujikaze kulia kwa nguvu zote?
20
Usikutwetee kuchwa, kuwe usiku! Kwani ndio unaomaliza makabila mazima, yatoweke mahali pao.
21
Jiangalie mwenyewe, usiyageukie maovu! Kwani ndiyo, unayoyapenda kuliko mateso.
22
Tazama! Mungu hufanya makuu kwa nguvu zake, yuko nani awezaye kufundisha kama yeye?
23
Yuko nani amwagizaye kuzishika njia zake yeye? Au yuko nani awezaye kumwambia: unafanya mapotovu?
24
Usisahau kuyatukuza matendo yake, watu wanayoyaimbia!
25
Watu wote huyatazamia na kuyachunguzia, yangaliko mbali.
26
Tazama! Mungu ni mkuu, tusimjue hivyo, alivyo, hesabu ya miaka yake haichunguziki.
27
Huvuta matone ya maji, yaje juu kuwa kungugu, kisha hugeuka kuwa mvua idondokayo chini;
28
ndivyo, mawingu yanavyoichuruzisha, inyeshee watu wengi.
29
Je? Yuko anayeyatambua matandazo ya mawingu? Au makao yake, ngurumo zitokamo?
30
Tazama! Huutandaza umeme wake, umzunguke, navyo vilindi vya bahari huvifunika.
31
Hivyo ndivyo, anavyoyapatiliza makabila ya watu, tena ndivyo, anavyowapa watu vyakula, viwe vingi mno.
32
Mikono yote miwili huifunika kwa umeme, akauagizia wao, utakaowapiga.
33
Ngurumo zake ndizo zinazoujulisha, akichafuka kwa kumkasirikia amwinukiaye.
← Chapter 35
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 37 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42