bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 37
Job 37
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 36
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 38 →
1
Kweli moyo wangu nao huyastukia hayo, ukakupuka mahali pake, ulipokuwa.
2
Ngurumo za sauti yake zisikilizeni vema, nayo mavumi yanayotoka kinywani mwake!
3
Huzifungua, zienee po pote chini ya mbingu, nao umeme wake huufikisha nako mapeoni kwa nchi.
4
Sauti yake hunguruma, ukiisha kuwapo; ndipo, unapoivumisha hiyo sauti yake yenye utukufu; kusudi sauti yake ipate kusikilika, hauzuii umeme.
5
Mungu akiivumisha sauti yake, inastaajabisha; hufanya makuu, tusiyoweza kuyajua.
6
Kwani huiambia kungugu: Anguka chini! nayo manyunyu huyafanya kuwa mvua, kisha hizo mvua huzitia nguvu zake, zinyeshe sana.
7
Hizo huizuia mikono ya watu wote kufanya kazi, wote pia wayajue matendo yake.
8
Hapo nao nyama huenda kujificha, watulie mapangoni mwao, ndimo, wanamotaka kukaa.
9
Chamchela hutoka chumbani mwake huko kusini, nako kaskazini hutoka upepo wenye baridi ufukuzao mawingu.
10
Kwa pumzi ya Mungu hutokea barafu, nayo maji yaliyopanuka hugandamana.
11
Hata mawingu huyalemeza kwa kuyatia maji mengi, yaanguke chini, tena hutandaza nayo mawingu yenye umeme wake.
12
Naye huyaongoza, yageuke huko na huko kuzifanya kazi zao, atakazoyaagiza, zitendeke huku chini po pote panapokaa watu;
13
kama anataka kuipiga nchi yake au kuihurumia, kila mara huyapeleka papo hapo, anapoyatakia kazi.
14
Haya yasikilize, wewe Iyobu, upate kuyatambua vema mastaajabu ya Mungu!
15
Jinsi Mungu anavyoyaagiza, unavijua? au jinsi anavyoumulikisha umeme ulioko mawinguni kwake?
16
Je? Unayajua mawingu, jinsi yanavyoning'inia? Mastaajabu yake, aliyotimiza kuyajua yote, unayatambua nawe?
17
Nguo zako hazikuwashi joto, wewe mtu, nchi ikitulia kwa jasho litokalo kusini?
18
Je? Unaweza kuzitandaza mbingu kama yeye, ziwe kama kioo cha shaba kwa kushupaa hivyo?
19
Haya! Na utujulishe tutakayomwambia! Sisi hatuwezi kuyatunga kwa kuwa gizani.
20
Je? Atapashwa habari ya kwamba: Nataka kusema? Yuko mtu aliyesema, aangamizwe?
21
Mwanga wa jua, likiwaka mbinguni, watu hawawezi kuutazama, upepo ukiisha kupita na kuyaondoa mawingu, pang'ae tena.
22
Kaskazini hutokea mionzi ya jua imetukayo kama dhahabu, kweli utukufu wake Mungu huogopesha.
23
Sisi hatukumwona Mwenyezi kwa kuwa mkuu mwenye nguvu, hapotoi shauri wala mambo yo yote yaongokayo.
24
Kwa hiyo inapasa, watu wamwogope, hawatazami watu wo wote wajiwaziao kuwa werevu wa kweli.
← Chapter 36
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 38 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42