bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 40
Job 40
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 39
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 41 →
1
Je? Mgombezaji atabishana naye Mwenyezi?
2
Atakayebishana na Mungu na ajibu!
3
Ndipo, Iyobu alipomjibu Bwana akisema:
4
Mimi ni mdogo zaidi, nikujibu nini? Nimekifumba kinywa changu kwa kiganja changu.
5
Nimesema mara moja, lakini sitajibu tena, sitaendelea kusema mara ya pili.
6
Bwana akamjibu Iyobu akiwa mle upeponi mwenye nguvu za kuvuma, akasema:
7
Haya! Jifunge viuno vyako kama mtu wa kiume! Kisha nitakuuliza, upate kunijulisha!
8
Je? Mashauri, niliyoyakata, utayatangua wewe? Je? Utaniumbua kuwa mwovu, ujitokeze kuwa mwongofu?
9
Je? Uko na mkono kama wake Mungu? Kwa kupaza sauti utaweza kunguruma kama yeye?
10
Haya! Jipambe utukufu na ukuu! Jivike urembo na enzi!
11
Yamwage machafuko ya ukali wako, mbwage chini kila, utakayemwona, ya kuwa amejivuna!
12
Kila utakayemwona, ya kuwa amejivuna, umnyenyekeze! Nao waovu waangushe papo hapo, wanaposimama!
13
Wachimbie uvumbini wote pamoja, nazo nyuso zao zifungie gizani hapo, wanapochimbiwa!
14
Ndipo, nitakapokutukuza mimi nami kwa kwamba: Mkono wako wa kiume unakuokoa.
15
Mtazame kiboko, niliyemwumba, kama nilivyokuumba wewe; naye hula majani kama ng'ombe.
16
Zitazame nguvu zake, alizo nazo kiunoni mwake, nao uwezo wake uliomo mishipani mwa tumbo lake.
17
Hunyosha mkia wake, uwe kama mwangati, mishipa ya mapaja yake imefungamana.
18
Mifupa yake ndio mabomba ya shaba, nazo mbavu zake ndio fimbo za chuma.
19
Wa kwanza wa viumbe vya Mungu ndiye yeye, naye aliyemwumba alimgawia nao upanga wake.
20
Mapori ya milimani humtolea chakula, nao nyama wote wa porini huchezacheza hapo.
21
Hulala chini ya miti yenye kivuli hujificha penye matete mabwawani.
22
Ile miti yenye kivuli humfunika kwa kivuli chao, nayo mifuu ya mtoni humzunguka.
23
Tazama, ijapo maji ya mto yafurike sana, hastuki kamwe, hutulia, ijapo mto kama Yordani umshambulie kuingia kinywani.
24
Yuko nani atakayemkamata, akiwa macho? Au yuko nani atakayeitoboa pua yake, amfunge kwa kamba?
← Chapter 39
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 41 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42