bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 42
Job 42
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 41
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
1
Ya kuwa unayaweza yote, ninayajua;
2
uliyoyataka, hayazuiliki.
3
Yuko nani awezaye kuyatowesha mashauri yako? Maana ni mtu asiyejua kitu. Kweli nimesema, nisiyoyatambua, mastaajabu kama hayo yananishinda, siyajui.
4
Sikiliza, niseme nami! Nitakuuliza, unijulishe!
5
Kusikia naliyasikia mambo yako kwa masikio yangu, lakini sasa macho yangu yamekuona.
6
Kwa hiyo nayatangua mwenyewe, niliyoyasema, humu mavumbini na majivuni ninajuta.
7
Ikawa, Bwana alipokwisha kumwambia Iyobu maneno haya, Bwana akamwambia Elifazi wa Temani: Makali yangu yamekuwakia wewe na wenzako hawa wawili, kwani maneno, mliyoyasema kuwa yangu, hayakunyoka kama yale ya mtumishi wangu Iyobu.
8
Sasa jichukulieni ng'ombe waume saba na kondoo waume saba, mwende kwa mtumishi wangu Iyobu, mwatoe kuwa ng'ombe za tambiko zenu ninyi, naye mtumishi wangu Iyobu na awaombee; kwani kwa kumpendelea yeye nitaacha kuwafanyizia ninyi yaupasayo ujinga wenu, kwani maneno, mliyoyasema kuwa yangu, hayakunyoka kama yale ya mtumishi wangu Iyobu.
9
Ndipo, Elifazi wa Temani na Bildadi wa Sua na Sofari wa Nama walipokwenda, wakafanya, kama Bwana alivyowaambia, naye Bwana akampendelea Iyobu.
10
Kisha Bwana akayafungua mafungo ya Iyobu, alipowaombea wenzake; nayo yote, Iyobu aliyokuwa nayo, Bwana akayarudisha na kuyaongeza, akayapata yale ya kale mara mbili.
11
Wakaja kwake ndugu zake wote wa kiume na wa kike nao waliojuana naye kale, wakala naye chakula nyumbani mwake, wakampongeza na kumtuliza moyo kwa ajili ya hayo mabaya yote, Bwana aliyokuwa alimletea, wakampa kila mtu kipande cha fedha na pete ya dhahabu.
12
Hivyo Bwana akambariki Iyobu, mwisho wake utukuke kuliko mwanzo, akapata kondoo na mbuzi 14000 na ngamia 6000 na majozi 1000 ya ng'ombe na majike ya punda 1000.
13
Akapata tena wana saba wa kiume na watatu wa kike.
14
Hao akawaita majina yao, wa kwanza Yemima (Hua), wa pili Kesia (Marashi), wa tatu Kereni-Hapuki (Pembe ya Wanja).
15
Hawakuonekana wanawake katika nchi yote nzima waliokuwa wazuri kama hao mabinti Iyobu. Naye baba yao akawapa mafungu, yawe yao, kama waumbu zao.
16
Hayo yote yalipokwisha, Iyobu akawapo miaka 140, akaona wana na wajukuu, vizazi vinne.
17
Kisha Iyobu akafa alipokuwa mzee mwenye miaka mingi ya kumtosha.
← Chapter 41
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42