bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 6
Job 6
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 5
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 7 →
1
Kama yangepimwa machafuko yangu,
2
wakiyatia nayo mateso yangu katika mizani,
3
haya yangetokea kuwa mazito zaidi kuliko mchanga wa baharini; kwa hiyo maneno yangu ni ya kupotelewa tu.
4
Kwani mishale ya Mwenyezi imenipiga, nayo sumu yao yenye moto roho yangu ikainywa, vitisho vya Mungu vikajipanga kuninasa mimi.
5
Je? Punda wa porini hulia mbugani penye majani? Au yuko ng'ombe apigaye kelele penye chakula chake?
6
Au visivyoungwa huliwa pasipo chumvi? Au yako yapendezayo, ukila ute wa yai?
7
Roho yangu inakataa kuvigusa tu, kwani hufanana na vyakula vyangu vichukizavyo.
8
Laiti yangetimia niyatakayo, Mungu akinipa niyangojeayo!
9
Kama Mungu yangempendeza, na aniponde, na aukunjue mkono wake kuikata roho yangu!
10
Litakalonituliza moyo litakuwako nayo siku hiyo, ijapo niumizwe pasipo kuhurumiwa, lilo hilo litanichezesha, ndio hilo la kwamba: Sikuyakana maneno yake Mtakatifu!
11
Nguvu zangu ni za nini, nitulie na kungoja? Mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia?
12
Je? Kama nguvu za mawe zilivyo, ndivyo, nguvu zangu zilivyo nazo? Au mwili wangu, nilio nao, ni wa shaba?
13
Je? Haya hayakunipata kwa kukosa msaada wo wote? Je? Uponya haukutoweshwa huku, niliko?
14
Mwenye kuzimia hupaswa na rafiki wamwendeao kwa upole, ijapo amekwisha kuacha kumcha Mwenyezi.
15
Ndugu zangu wameniacha na kudanganya kama kijito, kama mikondo ya vijito vikaukavyo upesi;
16
maana hivi huwa vyeusi kwa maji ya barafu, theluji ziyeyukazo zilimoingia kujifichia humo.
17
Lakini siku, vinapowakiwa na jua, hupwa, hutoweka mahali pao, kiangazi kikitimia.
18
Misafara huziacha njia zao kuvipandia jangwani, lakini wasipokuta kijito chenye maji, huangamia.
19
Misafara ile ya Tema huvitazamia, vikosi vya Saba huvingojea katika safari zao.
20
Lakini huona kuwa bure kuvikimbilia, kwani wanapofika mahali pao wamedanganyika.
21
Nanyi sasa mmeniwia vivyo hivyo: mlipoyaona haya mastusho mkashikwa na woga.
22
Je? Nimewaambia: Nipeni? Kwa mali zenu ninyi nikomboeni?
23
Au: Niponyeni mkononi mwake anisongaye, namo mikononi mwao wakorofi nikomboeni?
24
Nifunzeni, nipate kunyamaza! Nitambulisheni, nilipopotea!
25
Maneno yanyokayo hushinda kweli, lakini maneno yenu ya kunisuta yana maana gani?
26
Je? Mwawaza mioyoni mwenu kuonya maneno tu? Maneno ya mtu azimiaye ni ya upepo tu.
27
Hata mwana aliyefiwa na wazazi mwaweza kumpigia kura, mkamwuza naye aliye mwenzenu.
28
Lakini sasa ninawaomba, mnielekee mimi; sitaweza kuwaongopea usoni penu.
29
Rudini, msifanye upotovu! Rudini, mwone, wongofu wangu ungaliko.
30
Je? Ulimi wangu umesema yaliyo mapotovu? Au kinywa changu hakiyatambui yaponzayo?
← Chapter 5
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 7 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42