bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Joshua 20
Joshua 20
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 19
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 21 →
1
Kisha Bwana akamwambia Yosua kwamba:
2
Waambie wana wa Isiraeli kwamba: Jipatieni ile miji ya kuikimbilia, niliyowaambia kinywani mwa Mose,
3
mwuaji apate kuikimbilia, kama hakumpiga mwenziwe na kumwua kwa kusudi wala kwa kujua, mpate kuikimbilia na kumkimbia atakayeilipiza hiyo damu.
4
Kama anakimbilia mmojawapo hiyo mji, asimame pa kuliingilia lango la mji na kusema masikioni pa wazee wa miji huo manza zake, alizozikora, kisha sharti wampokee mjini mwao na kumpa mahali pa kukaa kwao.
5
Kama mwenye kuilipiza ile damu anamfuata upesi, wasimtoe yule mwuaji na kumtia mkononi mwake, kwa kuwa alimpiga mwenziwe pasipo kujua, wala hakumchukia tangu kale.
6
Naye atakaa humo mjini, mpaka atakaposimamishwa mbele ya mkutano, apate kuhukumiwa, tena mpaka mtambikaji mkuu wa siku zile atakapokufa, kisha yule mwuaji atapata kurudi na kuingia mjini kwao na nyumbani mwao mlemle mjini, alimotoka na kukimbia.
7
Ndipo, walipoeua Kedesi katika nchi ya Galili milimani kwa Nafutali na Sikemu milimani kwa Efuraimu na Kiriati-Arba, ndio Heburoni, milimani kwa Yuda.
8
Tena ng'ambo ya huko ya Yordani upande wa Yeriko wa Maawioni kwa jua wakatoa kwa shina la Rubeni mji wa Beseri ulioko nyikani juu mlimani panapokwenda sawa, tena Ramoti wa Gileadi kwa shina la Gadi na Golani wa Basani kwa shina la Manase.
9
Hii ndiyo miji iliyowekewa wana wote wa Isiraeli nao wageni waliokaa ugenini kwao ya kuikimbilia; mtu ye yote asiyemwua mwenziwe kwa kusudi asiuawe na mkono wake mwenye kuilipiza hiyo damu, mpaka asimamishwe mbele ya mkutano.
← Chapter 19
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 21 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24