bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Judges 12
Judges 12
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 13 →
1
Waefuraimu wakaitwa kukusanyika, wakaenda upande wa kaskazini, wakamwambia Yefuta: Kwa sababu gani ulikwenda kupigana nao wana wa Amoni, usituite kwenda pamoja na wewe? Sasa tutaichoma moto nyumba yako juu yako.
2
Lakini Yefuta akawaambia: Vita, tulivyovipiga mimi na watu wangu na wana wa Amoni, vilikuwa vikali mno, nami nilipowaita ninyi, hamkuniokoa mikononi mwao.
3
Nilipoona, ya kuwa ninyi hamniokoi, nikajitoa mwenyewe, nikawaendea wana wa Amoni, naye Bwana akawatia mikononi mwangu Ni kwa sababu gani, mkinipandia leo hivi kupigana na mimi?
4
Kisha Yefuta akawakusanya watu wote wa Gileadi, apigane na Waefuraimu; nao watu wa Gileadi wakawapiga Waefuraimu, kwani walikuwa wamesema: Ninyi m watoro wa Efuraimu, maana Gileadi uko katikati ya nchi ya Efuraimu na ya Manase.
5
Lakini Wagileadi walivitwaa vivuko vya Yordani vya kwenda Efuraimu. Vikawa hivyo: kila mara watoro wa Efuraimu waliposema: Na nivuke, watu wa Gileadi wakamwuliza: Wewe u Mwefuraimu? Naye aliposema: Hapana,
6
wakamwambia: Tamka Shiboleti! Tena aliposema: Siboleti kwa kuwa hakuweza kutamka Shiboleti, wakamkamata, wakamwua hapo penye vivuko vya Yordani; ndivyo, walivyouawa wakati huo Waefuraimu 42000.
7
Yefuta akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 6, kisha Yefuta wa Gileadi akafa, akazikwa katika mmoja wao miji ya nchi ya Gileadi.
8
Baada yake Ibusani wa Beti-Lehemu akawa mwamuzi wa Waisiraeli.
9
Alikuwa mwenye wana wa kiume 30 na wa kike 30, ndio aliowaoza kwenda pengine, tena aliingiza wanawake wengine 30 toka pengine, wawe wake za wanawe. Akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 7.
10
Ibusani alipokufa akazikwa Beti-Lehemu.
11
Baada yake Eloni wa Zebuluni akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 10.
12
Eloni wa Zebuluni alipokufa akazikwa huko Ayaloni katika nchi ya Zebuluni.
13
Baada yake Abudoni, mwana wa Hileli wa Piratoni, akawa mwamuzi wa Waisiraeli.
14
Naye alikuwa mwenye wana 40 na wajukuu 30 waliopanda wana wa punda 70. Akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 8.
15
Abudoni, mwana wa Hileli wa Piratoni, alipokufa akazikwa huko Piratoni katika nchi ya Efuraimu mlimani kwa Waamaleki.
← Chapter 11
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 13 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21