bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Judges 17
Judges 17
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 16
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 18 →
1
Milimani kwa Efuraimu kulikuwa na mtu, jina lake Mika.
2
Huyu akamwambia mama yake: Hizo fedha 1100, ulizochukuliwa, umemwapizia mwenye kuzichukua namo masikioni mwangu, basi, hizo fedha mimi ninazo, nimezichukua mimi. Ndipo, mama yake aliposema: Ubarikiwe na Bwana, mwanangu!
3
Akamrudishia mama yake hizo fedha 1100 naye mama yake akasema: Hizi fedha nimezitoa kabisa kuwa mali za Bwana, zitoke mkononi mwangu kwa ajili ya mwanangu, atengeneze kinyago cha kuchongwa, nacho kivikwe mabati ya fedha. Kwa hiyo sasa nazirudisha kwako.
4
Alipomrudishia mama yake hizo fedha, huyu mama yake akachukua fedha 200, akampa mfua fedha, akazitumia kutengeneza kinyago cha kuchongwa kilichovikwa mabati ya fedha, kikawekwa nyumbani mwa Mika.
5
Ndivyo, Mika alivyopata nyumba ya mungu, akatengeneza nacho kisibau cha mtambikaji kuwa kinyago cha nyumbani, kisha mmoja wao wanawe Mika akamjaza gao, akawa mtambikaji wake.
6
Siku zile hakuwako mfalme kwao Waisiraeli, kwa hiyo kila mtu huyafanya yanyokayo machoni pake yeye.
7
Kulikuwa na kijana wa Beti-Lehemu wa Yuda uliokuwa wa ukoo wa Yuda, naye alikuwa Mlawi, lakini alikuwa mgeni huko.
8
Kisha huyu mtu akaondoka katika mji wa Beti-Lehemu wa Yuda kwenda kukaa ugenini mahali, atakapopaona; naye akafika milimani kwa Efuraimu nyumbani kwa Mika alipokuwa anajiendea tu.
9
Mika akamwuliza: Umetoka wapi? Naye akamwambia: Mimi ni Mlawi wa Beti-Lehemu wa Yuda, nimekwenda kukaa ugenini mahali, nitakapopaona.
10
Mika akamwambia: Kaa kwangu, uniwie baba na mtambikaji! Nami nitakupa fedha kumi mwaka kwa mwaka, hata nguo za kuvaa na vyakula vya kukutunza nitakupatia. Huyu Mlawi kwanza alitaka kwenda zake,
11
halafu ikampendeza huyu Mlawi kukaa kwa huyu mtu, kisha huyu kijana akawa kwake kama mwanawe mmoja.
12
Mika akamjaza gao huyu Mlawi, ndipo, huyu kijana alipokuwa mtambikiaji wake, akakaa nyumbani mwa Mika.
13
Naye Mika akasema: Sasa najua, ya kuwa Bwana atanifanyizia mema, kwa kuwa huyu Mlawi ni mtambikaji wangu.
← Chapter 16
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 18 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21