bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Psalms 89
Psalms 89
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 88
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 90 →
1
Magawio ya Bwana nitayaimbia kale na kale,
2
vizazi na vizazi nitawajulisha kwa kinywa changu welekevu wako.
3
Kwani nasema: Upole wako utajengewa kale na kale, mbinguni uliusimika welekevu wako, uwapatie watu nguvu.
4
Ukasema: Niliagana naye niliyemchagua, mtumishi wangu Dawidi nikamwapia kwamba:
5
Walio uzao wako nitawatia nguvu kale nakale, nikijenge kiti chako cha ufalme, kiwe cha vizazi na vizazi.
6
Ndipo, mbingu zilipoyatukuza mataajabu yako, Bwana, welekevu wako ukatukuzwa nao kwenye mkutano wa watakatifu.
7
Kwani kule mawinguni yuko nani aliye mkuu kama Bwana? Nako kwenye wana wa Kimungu yuko nani afananaye na Bwana?
8
Watakatifu wakusanyikapo, Mungu huogopesha, nao wote wamzungukao hushikwa na woga.
9
Bwana Mungu Mwenye vikosi, yuko nani aliye hivyo, ulivyo? U Bwana mwenye nguvu, welekevu wako unakuzunguka.
10
Unayashinda hata majivuna yake bahari, mawimbi yake yakiumuka, unayatuliza.
11
Wewe ulimponda Rahabu, akaanguka kama mtu aumizwaye vitani, kwa mkono wako wenye nguvu ukawatapanya adui zako.
12
Mbingu ni zako, nchi nayo ni yako, kwani nchi navyo vyote vilivyoko ulivishikiza wewe.
13
Vilivyoko kaskazini navyo vilivyoko kusini wewe uliviumba, milima ya Tabori na ya Hermoni inalipigia Jina lako shangwe.
14
Mkono wako ni wenye uwezo sanasana, maganja yako nayo ni yenye nguvu, mkono wako wa kuume hutukuka.
15
Wongofu unyoshao maamuzi ni msingi wa kiti chako cha kifalme, upole na welekevu huutangulia uso wako.
16
Watu wajuao kushangilia ndio wenye shangwe, huendelea katika mwanga wa uso wako, Bwana.
17
Jina lako wanalipigia vigelegele siku zote, maana kwa wongofu wako walipata ukuu.
18
Kwani utukufu wa nguvu zao ni wewe, Bwana. mapenzi yako ndiyo yatupayo kuyaelekeza mabaragumu yetu juu.
19
Kwani aliye mwenye ngao yetu ndiye Bwana, naye mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Isiraeli.
20
Kale ulisema katika njozi nao waliokucha, ukawaambia: Yuko mwenye nguvu, niliyempa ushindaji; niliyemchagua nimemkweza, awapite wote ukuu.
21
Nimemwona Dawidi, awe mtumishi wangu, nikampaka mafuta yangu yaliyo matakatifu.
22
Maganja yangu yatamshikiza, kweli mkono wangu utamtia nguvu.
23
Hakuna adui atakayemshinda na kumwogopea, wala hakuna mkorofi atakayemtesa.
24
Mimi nitawapiga wamsongao, wakimbie watakapomwona, nao wachukivu wake nitawakumba, waanguke.
25
Welekevu wangu na upole wangu utamkalia, kwa nguvu ya Jina langu atalielekeza baragumu lake juu.
26
Mikono yake nitaifikisha kwenye bahari, mkono wake wa kuume sharti uje kwenye mito mikubwa.
27
Yeye ataniita na kuniambia: Baba yangu ni wewe, u Mungu wangu nao mwamba ulio wokovu wangu.
28
Mimi nami nitampa uzaliwa wa kwanza, na ukuu wa wafalme wa nchini.
29
Kale na kale nitamwendea kwa upole wangu, nalo agano tuliloliagana, halitatanguka.
30
Mazao ya kuwa ya kale na kale ndiyo, nitakayompa, nazo siku za kiti chake cha kifalme zitakuwa kama za mbingu.
31
Watoto wake wakiyaacha Maonyo yangu, wasiendelee na kuyafanya yanyokayo machoni pangu,
32
wakiyapinga maongozi yangu, wasiyaangalie maagizo yangu,
33
Nitawaonya na kuwapiga fimbo kwa kukataa kunitii, hayo maumivu yawlaipishe manza zao, walizozikora.
34
Lakini upole wangu sitawanyima, wala sitageuka kuwa mwongo, welekevu wangu ukiwaacha.
35
Wala Agano langu sitalitangua, wala sitayageuzageuza yaliyotoka midomoni mwangu.
36
Neno moja nimejiapia kwa utakatifu wangu, nami sitamwongopea Dawidi, ni lile la kwamba:
37
Uzao wake utakuwa wa kale na kale, nacho kiti chake cha kifalme kitakuwa kama jua machoni pangu,
38
kitakaa na nguvu yake kale na kale kama mwezi. Naye shahidi alioko huko juu mawinguni ni mwelekevu.
39
Kisha wewe umemtupa na kumkataa; yeye, uliyempaka mafuta, umemchafukia.
40
Agano, uliloliagana na mtumishi wako, umeliacha, urembo wake wa kichwani umeuchafua na kuutupa chini.
41
Umevivunja vitalu vyake vyote pia, maboma yake yote umeyatoa, yabomolewe.
42
Wote wapitao njia wanajipatia mateka papo hapo, naye amegeuka kuwa mtu wakusimangwa tu kwao, aliokaa nao.
43
Umeikweza mikono yao ya kuume wao wamsongao, adui zake wote umewafurahisha.
44
Hata ukali wa upanga wake umeurudisha nyuma, usipompa kusimama kwenye mapigano.
45
Umeukomesha uzuri wake wa kifalme, usiwepo tena, nacho kiti chake cha kifalme umekibwaga chini.
46
Siku za ujana wake umezifupiza, ukamtia soni, zimfunike kama nguo.
47
Bwana, utajificha hivyo mpaka lini? Moto wa makali yako uwake kale na kale?
48
Zikumbuke siku zangu, jinsi zinavyoishia upesi! Mbona wana wa watu wote ulijiumbia, wawe wa bure?
49
Ni mtu gani anayekuwapo pasipo kuona kufa? Ni mtu gani atakayeiopoa roho yake katika nguvu za kuzimuni?
50
Bwana, magawio ya upole wako ya kwanza yako wapi sasa? Tena ulimwapia Dawidi kwa welekevu wako, ayapate!
51
Wakumbuke, Bwana, watumishi wako, jinsi wanavyosimangwa! Nayavumilia moyoni mwangu mabezo yamakabila yote, nayo ni mengi.
52
Bwana, ndivyo, wanavyokusimanga wachukivu wako, tena ndivyo, wanavyozisimanga nazo nyayo zake, uliyempaka mafuta!
53
Bwana na atukuzwe kale na kale! Amin. Amin.
← Chapter 88
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 90 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150