1 Chronicles 5:29
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amuramu alikuwa na wana wawili: Haruni na Musa, na binti mumoja jina lake Miriamu. Haruni alikuwa na wana wane: Nadabu, Abihu, Eleazari na Itamari. Eleazari alizaa Finehasi, Finehasi alizaa Abisua, Abisua alizaa Buki, Buki alizaa Usi, Usi alizaa Zerahia, Zerahia alizaa Merayoti, Merayoti alizaa Amaria, Amaria alizaa Ahitubu, Ahitubu alizaa Zadoki, Zadoki alizaa Ahimasi, Ahimasi alizaa Azaria, Azaria alizaa Yohana, Yohana alizaa Azari aliyefanya kazi ya ukuhani katika hekalu mufalme Solomono alilojenga kule Yerusalema, Azaria alizaa Amaria, Amaria alizaa Ahitubu, Ahitubu alizaa Zadoki, Zadoki alizaa Mesulamu, Mesulamu alizaa Hilkia, Hilkia alizaa Azaria, Azaria alizaa Seraya, Seraya alizaa Yozadaki.
Compare 1 Chronicles 5:29 across all translations →