1 Kings 5:20
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, uwaamuru watu wako wanikatie miti ya mierezi ya Lebanoni. Watu wangu watajiunga na watu wako katika kazi hiyo, nami nitawalipa watumishi wako kadiri utakavyosema. Maana kama vile unavyojua, hakuna yeyote mwenye kuwa fundi wa kukata miti kama ninyi Wasidoni.”
Compare 1 Kings 5:20 across all translations →