1 Samuel 24:23
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamwapia Saulo. Kisha Saulo akarudia kwake, lakini Daudi na watu wake wakaenda kwenye nafasi zao za makimbilio.
Compare 1 Samuel 24:23 across all translations →