2 Kings 12:22
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliomwua ni Yozakari mwana wa Simeati na Yozabadi mwana wa Someri watumishi wake. Halafu wakamuzika katika makaburi ya kifalme katika muji wa Daudi. Naye Amazia mwana wake akatawala kwa pahali pake.
Compare 2 Kings 12:22 across all translations →