Daniel 3:33
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli vitambulisho vya Mungu ni kubwa! Maajabu yake ni makubwa sana! Ufalme wake ni ufalme wa milele; ufalme wake unadumu kwa vizazi vyote.
Compare Daniel 3:33 across all translations →