Exodus 7:28
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muto Nili utajaa vyura, nao wataingia mpaka ndani ya nyumba yako, chumba chako cha kulala, juu ya kitanda chako, na katika nyumba za watumishi wako na watu wako. Vyura hao wataingia katika mafika yenu na vyombo vyenu vya kufinyangia unga.
Compare Exodus 7:28 across all translations →