Ezekiel 21:34
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ninyi mumetulia katika maono yenu madanganyifu na utabiri wenu wa uongo, upanga utakuwa tayari kukata shingo za waasi na waovu. Siku imetimia ambapo maovu yenu yataazibiwa.
Compare Ezekiel 21:34 across all translations →