Psalms 40:18
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni masikini na mukosefu, ee Bwana; lakini wewe haukunisahau. Wewe ni musaada wangu na mwokozi wangu; ukuje, ee Mungu wangu, usikawie!
Compare Psalms 40:18 across all translations →