Psalms 53:7
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Sayuni! Mungu atakapotengeneza hali ya watu wake, wazao wa Yakobo watashangilia; watu wa Israeli watafurahi.
Compare Psalms 53:7 across all translations →