bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
/
1 Chronicles 25
1 Chronicles 25
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
1
Mfalme Daudi na viongozi wa Walawi, waliwateua baadhi ya wana wa Asafu, wa Hemani, na wa Yeduthuni, kuongoza katika huduma ya kutabiri kwa kutumia vinubi, na vinanda na matoazi. Hii ndiyo orodha ya wale waliochaguliwa kuongoza ibada, pamoja na aina ya kazi iliyofanywa na kila kikundi.
2
Wana wanne wa Asafu: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asharela. Wao walikuwa chini ya uongozi wa Asafu aliyetabiri wakati wote chini ya uongozi wa mfalme.
3
Wana sita wa Yeduthuni: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia na Matithia. Wao walikuwa chini ya uongozi wa baba yao; na walitabiri kwa kutumia vinubi, na wakamshukuru na kumtukuza Mwenyezi-Mungu.
4
Wa Hemani: Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli, Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti, Romamti-ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.
5
Mungu alimpa Hemani, mwonaji wa mfalme, hawa watoto wa kiume kumi na wanne, na wa kike watatu, kama alivyoahidi ili kumtukuza.
6
Wanawe wote walipiga muziki kwa matoazi, vinanda na vinubi, kwenye ibada katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu wakiwa chini ya uongozi wa baba yao. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya amri ya mfalme.
7
Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.
8
Wote, wakubwa kwa wadogo, waalimu kwa wanafunzi, walitumia kura katika kupanga kazi zao.
9
Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;
10
ya 3 Zakuri pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
11
ya 4 ilimwangukia Seri pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
12
ya 5 Nethania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
13
ya 6 Bukia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
14
ya 7 Asharela; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
15
ya 8 Yeshaya; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
16
ya 9 Matania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
17
ya 10 Shimei; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
18
ya 11 Azareli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
19
ya 12 Hashabia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
20
ya 13 Shebueli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
21
ya 14 Matithia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
22
ya 15 Yeremothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
23
ya 16 Hanania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
24
ya 17 Yoshbekasha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
25
ya 18 Hanani; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
26
ya 19 Malothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
27
ya 20 Eliatha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
28
ya 21 Hothiri; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;
29
ya 22 Gidalti; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili,
30
ya 23 Mahaziothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili,
31
ya 24 ilimwangukia Romamti-ezeri; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili.
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29