bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
/
1 Chronicles 25
1 Chronicles 25
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
1
Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani, na wana wa Yeduthuni kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hiyo:
2
Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yusufu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.
3
Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Mwenyezi Mungu.
4
Wana wa Hemani walikuwa: Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.
5
Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani watoto kumi na wanne wa kiume na binti watatu.
6
Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Mwenyezi Mungu wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
7
Pamoja na ndugu zao, wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Mwenyezi Mungu. Idadi yao walikuwa mia mbili na themanini na nane (288).
8
Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.
9
Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, 12; Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12;
10
Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12;
11
ya nne ikamwangukia Isri, wanawe na jamaa zake, 12;
12
ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 12;
13
ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 12;
14
ya saba ikamwangukia Yesarela, wanawe na jamaa zake, 12;
15
ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12;
16
ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12;
17
ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12;
18
ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, wanawe na jamaa zake, 12;
19
ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 12;
20
ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 12;
21
ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 12;
22
ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 12;
23
Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 12;
24
ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 12;
25
ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 12;
26
ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 12;
27
ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 12;
28
ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 12;
29
ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 12;
30
ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 12;
31
ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.
← Chapter 24
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 26 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29